Kito (madini) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:Gem.pebbles.800pix.labelled.jpg|thumb|200px|<center>Vito na majina yao ya Kiingereza<br>"turquoise" ni feruzi; "ruby" ni yakuti; ]]
[[Image:Emerald specimen with matrix.jpg|thumb|200px|Kito cha Zumaridi katika hali asilia pamoja na mwamba wa kawaida]]
'''Vito''' (pia: '''johari''', '''mawe ya thamani''') ni madini adimu na ngumu zinazopendekeza kwa sababu ya rangi yao. Vinapendwa na watu na kutumiwa kama mapambo. Kito chenye thamani kubwa ni [[almasi]].
 
Mara nyingi vinakatwa au kuchongwa kwa namna mbalimbali na kutumiwa pamoja na metali adili kama [[dhahabu]] au [[fedha]] kuwa mapambo kama [[pete]], [[hereni]], [[mkufu]] au [[bizimu]].
Mstari 9:
* [[feruzi]]
* [[yakuti]]
* [[zumaridi]]
* [[tanzanaiti]]
 
[[Lulu]] na [[korali]] hutajwa wakati mwingine pia kama kito ingawa si minerali asilia lakini dutu inayotengenezwa na wanyama.