Saudia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 54:
'''Ufalme wa Uarabuni wa Saudia''' (<big>'''المملكة العربية السعودية'''</big>, al-mamlaka al-'arabiyya as-sa'audiyya ) ni nchi kubwa kati ya nchi za [[Bara Arabu]]. Imepakana na [[Yordani]], [[Iraq]], [[Kuwait]], [[Qatar]], [[Bahrain]], [[Falme za Kiarabu]], [[Oman]] na [[Yemen]]. Kuna pwani la [[Ghuba la Uajemi]] upande wa kaskazini-mashariki na [[Bahari ya Shamu]] upande wa magharibi.
 
Mara nyingi inaitwa "al-haramain" yaani nchi ya mahali patakatifu pawili kwa kumaanisha miji ya [[Makka]] na [[Madina]] ambayo ni patakatifumiji pamitakatify katika Uislamu.
 
Jina la nchi limefuatalimetoka kwa familia ya watawala wa familia ya Saud.
 
[[Picha:Sa-map.png]]