Kangaruu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Robot: eu:Kanguru is a featured article
Nyongeza kigezo cha jaribio
Mstari 23:
[[Picha:RedRoo.JPG|thumb|Kangaruu dume, Red Kangaroo huko Taronga Western Plains Zoo]]
 
'''Kangaruu''' (kutoka [[Kiingereza|Kiing.]]: [[w:Kangaroo|kangaroo]]) ni jina la wanyama [[mamalia]] wa spishi mbalimbali walio wenyeji wa [[Australia]]. Wote ni wala majani wanaobeba watoto wao wachanga ndani ya pochi ya ngozi iliyopo nje ya mwili juu ya tumbo wakiwa spishi zinazojulikana zaidi ya wanyama wa ngeli ndogo ya [[marsupialia]]. Familia ya spishi zao huitwa kwa jina la bioloja "Macropodidae" yaani wenye miguu mikubwa (Kigiriki ''makrós'' (kubwa) na ''poús, podós'' (mguu)). Kuna spishi zaidi ya 60 zinazojulikana.
 
Kwa matumizi ya kawaida neno hili hutumika kuelezea spishi hii kutoka kwenye familia kubwa hasa wale wa jenasi ya Macropus, kangaruu mwekundu, kangaruu wa kijivu wa magharibi na kangaruu wa kijivu wa mashariki[http://en.wikipedia.org/wiki/Kangaroo#cite_note-MSW3-0]. Kangaruu ni wazawa wa bara la Australia. Jamii nyingine kangaruu wengine wanapatikana pia Australia na New Guinea.
Mstari 75:
Nyama ya kangaroo hupikwa kwa namna mbalimbali. Nyama hii tena ni chakula kwa watu wa Aboriginal.’
 
{{Jaribio1| maneno_ya_asili = kangaroo | lugha = Kiingereza | maneno_ya_jaribio = kangaruu }}
 
[[Jamii:Kangaruu na jamaa]]