Wilaya ya Njombe : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Tanzania Njombe location map.svg|thumb|250px|Mahali pa Njombe (kijani) katika [[mkoa wa Iringa]] kabla ya umegaji.]]
'''Wilaya ya Njombe''' ni wilaya moja ya [[Mkoa wa Njombe]] ulioanzishwa mnamo Machi [[2012]] kwa kumega [[mkoa wa Iringa]]. upande wa kusini.

Katika [[sensa]] ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 420,348 [http://www.tanzania.go.tz/census/census/districts/njombe.htm].

[[Makao makuu]] ya wilaya na ya mkoa yapo [[Njombe Mjini]].
 
Wenyeji asilia wa Njombe ni hasa [[Wabena]].