Wilaya ya Ludewa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Tanzania Ludewa location map.svg|thumb|250px|Mahali pa Ludewa (kijani) katika [[mkoa wa Iringa]] kabla ya umegaji.]]
'''Wilaya ya Ludewa''' ni wilaya mojamojawapo ya [[Mkoa wa IringaNjombe]].

Katika [[sensa]] ya mwaka [[2002]], idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 128,520 [http://www.tanzania.go.tz/census/census/districts/ludewa.htm].
 
Ludewa iko upande wa kaskazini-mashariki ya [[Ziwa Nyassa]]. Makao makuu ni mji wa [[Ludewa]]. Wilaya imepakana na wilaya za [[wilaya ya Njombe|Njombe]] na [[wilaya ya Makete|Makete]], upande wa mashariki na [[mkoa wa Ruvuma]] na upande wa kusini na nchi ya [[Malawi]] ng'ambo ya ziwa.
 
Wenyeji asilia wa Ludewa ni [[Wapangwa]], [[Wakisi]] na [[Wamanda]].
 
{{Kigezo:Kata za Wilaya ya Ludewa}}
 
{{mbegu-jio-iringanjombe}}
 
[[Jamii:Wilaya za Mkoa wa IringaNjombe|L]]
[[Jamii:Wilaya ya Ludewa| ]]