Mkoa wa Rukwa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Badiliko: no:Rukwa (region)
No edit summary
Mstari 39:
}}
 
[[Picha:Rukwa Mkoa.png|thumb|left|300px|Mkoa wa Rukwa kabla haujamegwa upande wa kaskazini (2012).]]
 
'''Rukwa''' ni moja kati ya mikoa 2630 za [[Tanzania]]. Inapakana na mikoa ya [[Mkoa wa Kigoma|Kigoma]] na, [[Mkoa wa Tabora|Tabora]] na [[Mkoa wa Katavi|Katavi]] upande wa Kaskazini, [[mkoa wa Mbeya]] upande wa mashariki, [[Zambia]] kusini na upande wa magharibi [[Ziwa la Tanganyika]] lililo mpaka na [[Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo|Kongo]] pia. Makao makuu ya mkoa ni [[Sumbawanga (mji)|Sumbawanga]].
 
EneoKabla ya kumegwa mwaka [[2012]] eneo la mkoa nililikuwa takriban 70,000 km². Kusini mwa mkoa liko [[ziwa la Rukwa]] ambalo ni kati maziwa makubwa ya Afrika ya Mashariki.
 
=== WilayaaWilaya ===
Wilaya nne ndizozilikuwa (idadi ya wakazi katika mabano): [[Sumbawanga Mjini]] (147,483), [[Sumbawanga Vijijini]] (373,080), [[Mpanda]] (412,683) na [[Nkansi]] (208,497).
 
Mwaka 2012 ilianzishwa [[wilaya ya Kalambo]].
 
=== Wakazi ===
KunaKulikuwa na wakazi 1,141,743 (sensa 2002), kwa asilimia kubwa waumini wa [[Kanisa Katoliki]].
 
Kabila kuwba zaidi mkoani ndio [[Wafipa]] walioko hasa katika wilaya za Sumbawanga na Nkansi. Kati ya makabila mengine nikuna [[WabendeWamambwe]]-Lungu, [[WapimbweWawanda]], Warungwa na Wakonongo katika wilaya ya Mpanda; Wamambwe-Lungu, Wawanda na [[Wanyamwanga]] katika wilaya ya Sumbawanga; kuna pia [[Wasukuma]], [[Wanyamwezi]] na [[Wamassai]].
 
== Viungo vya nje ==