Mkoa wa Ruvuma : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
d r2.5.2) (roboti Nyongeza: da:Ruvuma (region) |
No edit summary |
||
Mstari 16:
|subdivision_name = [[Tanzania]]
|subdivision_type1 = [[Wilaya za Tanzania|Wilaya]]
|subdivision_name1 =
|subdivision_type2 = [[Mji mkuu]]
|subdivision_name2 = [[Songea (mji)|Songea]]
Mstari 39:
}}
'''Mkoa wa Ruvuma''' ni kati ya mikoa
Umepewa jina kutokana na [[mto Ruvuma]] ambao ni mpaka wake wa kusini na [[Msumbiji]]. Umepakana na [[Ziwa la Nyasa]] na [[Mkoa wa Morogoro]] upande wa magharibi, mikoa ya [[Mkoa wa Iringa|Iringa]] na [[Mkoa wa Lindi|Lindi]] upande wa kaskazini na [[Mkoa wa Mtwara]] upande wa Mashariki.
=== Wilaya ===
=== Wakazi ===
Makabila makubwa katika Ruvuma ni [[Wayao]], [[Wangoni]], [[Wamatengo]], [[Wandendeule]] na [[Wandengereko]].
Karibu na Songea iko [[monasteri]] kubwa ya [[Peramiho]] ya watawa [[Wabenedikto]] na nyingine iko [[Hanga]].
Sehemu ya mashariki ya mkoa kuna barabara ya lami kutoka [[Dar es Salaam]] kupitia [[Makambako]] na [[Njombe]] hadi Songea. Barabara kuu kwenda [[Lindi]] ni katika hali mbaya.
Mstari 62:
[[Jamii:Mikoa ya Tanzania|R]]
[[Jamii:Mkoa wa
[[bg:Рувума (регион)]]
|