Konstantinopoli : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
picha
picha
Mstari 1:
[[Image:Konstantinopoli_-_Istanbul.jpg|thumb|350px|Konstantinopili ya kale (nekundu) pamoja na miji yake ya kando (kijani) ndani ya eneo la Istanbul ya leo]]
[[Image:Konstantinopoli - Istanbul B.jpg|thumb|350px]]
'''Konstantinopoli''' ([[Kigiriki]]: Κωνσταντινούπολις - ''konstantinopolis'') iliundwa kwa jina [[Bizanti]] na walowezi Wagiriki mnamo [[660 KK]] ikawa mji mkuu wa [[Dola la Roma]] kuanzia mwaka 330 [[BK]], baadaye mji mkuu wa [[Dola la Roma la Mashariki]] au [[milki ya Bizanti]] kati ya [[395]] hadi [[1453]]. Baada ya kutwaliwa na Waturuki [[Waosmani]] ilikuwa mji mkuu wa [[milki ya Osmani]] hadi [[1922]]. Tangu 1930 ikapewa jina la Kituriki[[Kituruki]] la [[Istanbul]].
 
Mji ulianzishwa upande wa [[Ulaya|kiulaya]] wa [[Bosporus]] kwenye kati ya hori la "pembe ya dhahabu" na [[Bahari ya Marmara]]. Ulibadilisha majina yake mara kadhaa katika historia ndefu: Bizanti, Roma Mpya (Kigiriki: Νέα Ῥώμη, [[Kilatini]]: Nova Roma), Konstantinopoli, tena Bizanti, Stambul, halafu Istanbul.