Tofauti kati ya marekesbisho "Rwanda"

239 bytes added ,  miaka 9 iliyopita
d (r2.6.4) (Roboti: Imeongeza zu:IRuwanda)
 
== Wakazi ==
 
Banyarwnda, Rwanda na Ruanda:
Kuma Banyarwanda 1 milioni hapo Uganda. Rwanda ni watu Watutsi, Hutu, Twa; Watu kweli wa kiafrica, ni 8 milioni.
Ruanda - Urundi ni 18 milioni. Wanaongea lugha ya kibantu ya Niger-Congo ya Africa ya Kati.
 
 
=== Makabila ===
Kwa kawaida vikindi vitatu hutajwa kuwa wakazi wa Rwanda ndio [[Wahutu]], [[Watutsi]], [[Watwa]]. Lakini kuna tofauti kali kati ya mawazo kama vikundi hivi ni makabila, mataifa ya pekee au tabaka za kijamii. Hali halisi wanatumia lugha ileile ya [[Kinyarwanda]] na utamaduni uleule. Kihistoria wengi wanasema ya kwamba Watwa walikuwa wakazi wa kwanza wakiwa wavindaji, Wahutu ndio wakulima wa kibantu waliopatikana tangu uenezaji wa Wabantu katika Afrika ya kati na mababu wa Watutsi waliingia kama wafugaji wa asili ya kaskazini. Watutsi walikuwa tabaka ya kikabaila pia mfalme alikuwa Mtutsi. Lakini wengine wanaamini ya kwamba vikundi vyote vitatu walijitokeza nchini tu si kama tokeo la hamiaji mbalimbali lakini zaidi kama tabaka zilizotofautiana kikazi: Wakulima, wavindaji na wafugaji waliokuwa pia askari wa mfalme.
Anonymous user