Siku ya Pi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.1) (roboti Nyongeza: cv:Пи хисепĕн кунĕ
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:prince-of-pi.jpg|thumb|right|Larry Shaw mwanzilishaji wa sikukuu ya Pi pamoja na keki za sherehe]]
[[Image:Pi pie2.jpg|thumb|right|Keki ya Pi iliyoandaliwa kwenye chuo kikuu cha Delft (Uholanzi)]]
'''Sikukuu ya Π''' (tamka: pi) ni siku ya kusheherekea namba '''[[Ππ]]''' ('''[[pi]]'''). Husheherekewa na wanahisabati na marafiki wa [[hisabati]] duniani. Pi si namba ya kawaida huitwa "namba ya duara" na thamani yake hukaribia 3,14159265358 au chamkano cha 22/7.
 
==Tarehe mbili==
Kutokana na thamani hizi kuna siku mbili zinazosheherekewa ambayo ni [[14 Machi]] (kwa namna ya Kimarekani tarehe hii huandikwa 3-14) na pia [[22 Julai]] inayoweza kuandikwa kwa namna ya kufanana na chamkano 22/7. Kwa Kiingereza 14 Machi huitwa "Pi-Day" na 22 Julai "Pi Approximation Day". Hali halisi 22/7 iko karibu zaidi na thamani halisi ya Ππ kuliko 3,14.
 
14 Machi huangaliwa zaidi katika nchi zinazoandika tarehe zao kwa namna ya mwezi-siku kama Marekani, na 22 Julai hupendelewa katika nchi zinazoandika tarehe kwa namna ya siku-mwezi.