Tausi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 13:
''[[Pavo]]'' <small>[[Carolus Linnaeus|Linnaeus]], 1758</small><br />
}}
Tausi ni [[ndege]] wakubwa wa [[jenasi]] ''[[Pavo]]'' na ''[[Afropavo]]'' katika [[familia]] ya [[Phasianidae]].

Dume ana rangi ing’aayo ya majani au buluu na mkia wake ni mrefu mwenye rangi nyingi. Jike ana rangi inayofifia pengine kahawia tu. [[Jinsia]] zote zina [[ushungi]]. Dume hukoga mkia kwa ubembelezi.

Hula [[tunda|matunda]], [[ua|maua]], [[mdudu|wadudu]] na [[mtambazi|watambazi]]. Hutaga mayai matatu hadi manane ardhini.
 
[[Tausi wa Kongo]] anatokea [[Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo|Kongo ya Kidemokrasia]]. [[Spishi]] mbili nyingine zinatokea misitu ya [[Asia]], lakini zimewasilishwa katika sehemu nyingine za [[dunia]], hususa [[tausi mhindi]].
Line 38 ⟶ 42:
 
[[Jamii:Kuku na jamaa]]
[[Jamii;:Wanyama wa Biblia]]
 
[[ar:طاووس]]