Kuku : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 21:
Kuku dume huitwa [[jogoo]] na jike ni [[tembe]]; mtoto wa kuku ni [[kifaranga]]. Kutokana na ufugaji uwezo wa kuruka umepotea.
 
Idadi ya kuku duniani inakadiriwa kuwa zaidi ya bilioni 10 na wengi wanafugwa kwa wingi wakiotomiwawakiotamiwa na kuishi zizini. Kwa njia ya [[ufugaji]] aina nyingi za kuku zimeendelezwa kwa kuchagua wanyama wenye tabia maalumu na kuwazaalianakuzaliana. Wanaofugwa sikisiku hizi ni aina zinazotoa hasa nyama na aina nyingine zinatoa hasa mayaima[[yai]].
Katika mazingira asilia kuku huishi miaka 5-11 lakini wale wanaofugwa kwa wingi wanachinjwa baada ya wiki 6-8 kama ni kuku wa nyama na mwaka mmoja kama ni kuku wa mayai. Kati ya aina zinazofugwa kwa mayai karibu dumemadume wote, yaani nusu ya vifaranga, wanauawa mara moja kwa sababu hawategihawatagi mayai na aina hii haileti nyama ya kutosha.
 
Asili ya kuku zetu ni [[kuku mwitu]] wa [Indonesia]]. Ufugaji wake ulisambazwa [[Asia]] Bara na [[Polynesia]]. Mabaki ya mifupa ya kuku yamepatikana [[China]] ykiwayakiwa na umri wa miaka 8,000. Kutoka [[Asia ya Kusini-Magharibi]] kuku walisambazwa [[Uhindi]] na kupita [[Uajemi]] hadi [[Ugiriki]] na sehemu nyingine za [[Ulaya]]. Inaaminiwa ya kwamba kuku walifikawaliletwa [[Amerika Kusini]] kabla ya kuja kwa [[Kolumbus]] kupitia [[Pasifiki]].
 
== Utangulizi ==
Kuku, kisayansi Gallus galena – domestians’, ni ndege anayefugwa nyumbani wakiwaakiwa ni miongoni mwa wanyama waliosambaa zaidi duniani. Mpaka kufikia bilioni 24 mwaka [[2003]], kuku ndio ndege walio wengi zaidi duniani. Binadamu huwatunza kuku majumbani mwao kama chanzo cha chakula, hasa ikiwa nyama na mayaomayai yao.
 
Ilisemekana kuwa, kuku walianza huko India, lakini ushahidi wa sasa unaonyesha kuwa walianza huko [[Vietnam]] miaka 10,000 iliyopita, . Kishakisha wakaenea mapaka Ugiriki, [[Misri]] n.k.
[[File:Rooster portrait2.jpg|thumb|[[Jogoo]]]]
 
== Chakula ==
Kuku hula majani na nyama. Wakiwa mwituni mara nyingi huonekana wakitumia muda wao mwingi kuparua-parua kutafuta [[mbegu]], [[wadudu]] na hata wanyama wakubwa kama vile [[mijusi]] na [[panya pori]] wadogo.
Kuku huweza kuishi kwa miaka mitano mpaka kumi na moja kutokana na spishi husika . Kuku wa biashara hukua kwa wiki sita tu kabla kuchinjwa . Kuku wanaokula kwa kutangatanga huweza kuchinjwa kuanzia wiki ya 14 na kuendelea. Kuku maalumu wa mayai huweza hata kutaga mayai 300 kwa mwaka kila mmoja. Baada ya mwaka mmoja uwezo wa kuku kutaga hupungua na kuku hao huchinjwa kwa ajili ya nyama. Kuku aliyevunja rekodi ya dunia, ni yule aliyeishi kwa zaidi ya miaka 16 .
 
Kuku huweza kuishi kwa miaka mitano mpaka kumi na moja kutokanakadiri naya spishi husika . Kuku wa [[biashara]] hukua kwa wiki sita tu kabla kuchinjwaya kuchinjwa. Kuku wanaokula kwa kutangatanga huweza kuchinjwa kuanzia wiki ya 14 na kuendelea. Kuku maalumu wa mayai huweza hata kutaga mayai 300 kwa mwaka kila mmoja. Baada ya mwaka mmoja uwezo wa kuku kutaga hupungua na kuku hao huchinjwa kwa ajili ya nyama. Kuku aliyevunja rekodi ya dunia, ni yule aliyeishi kwa zaidi ya miaka 16 .
Baiolojia ya kawaida ya mazingira, kuku dume, jogoo, hutofautiana na kuku jike, tena kwa mwonekano wao. Majogoo huwa na kilemba na mkia maridadi, huku wakiwa pia na manyoya marefu mgongoni na shingoni mwao. Japo kuna baadhi ya aina ya kuku, ambao jogoo hawana kilemba chao, isipokuwa tu manyoya mengi.
 
[[Baiolojia]] ya kawaida ya [[mazingira]], kuku dume, jogoo, hutofautiana na kuku jike, tena kwa mwonekano wao. Majogoo huwa na kilemba na [[mkia]] maridadi, huku wakiwa pia na manyoya marefu mgongoni na shingoni mwao. Japo kuna baadhi ya aina ya kuku, ambao jogoo hawana kilemba chao, isipokuwa tu manyoya mengi.
 
Kuku wafugwao hawana uwezo mkubwa wa kuruka, japokuwa kuku wepesi wana uwezo wa kuruka juu ya uzio, kuta. Mara kadhaa kuku huruka kuyatizama mazingira yao, lakini mara nyingi huwa juu ya kuwakimbia adui.
 
Kuku huwa na tabia ya kutaga mayai kwenye [[kiota]] ambacho kina mayai tayari. Baadhi ya wakulima hutumia mayai ya [[unsushi]] ili kuwavutia kuku watage maeneo wanayoyataka wao.
 
Kuku pia huwa wasumbufu sana pia kuhusu mahali wapi panapowafaa kutumika kwa majogoo huashiria uwepo katika himaya yake kwa majogoo wengine. Hata hivyo mara nyingine kuwika huwa ni kutokana na kusumbulia mara kadhaa. Temba hutumika mara baada ya kutaga na pia wakati wa kuwaita watoto wao.
 
== Malezi ==
Jogoo anapopata chakula huwaita kuku wengine na kuwapa fursa ya kula kwanza. Hufanya hivi kwa kulia kwa mlio wa juu na kuinua chakula na kukiangusha tena mara kadhaa, jogoo hueleza mbele ya temba wake, kwa kumzunguka huku bawa moja likiwa chini. na kucheza huku huamsha [[ubongo]] wa temba na jogoo huendelahuendelea na kazi ya kumzalisha temba huyo.
 
== Uzazi ==
[[Picha:Chicken eggs.jpg|thumb|Mayai]]
Kuku hutaga mayai mpaka yanapoisha kwenye mfuko wake. Kisha huanza kutamia. Wakati huu kuku hutulia kwenye kiota chake na kutulia hapo bila ya kutembea wala kula, huku tu akigeuza geuzaakigeuzageuza mayai yake, akijitahidi kuweka kiwango sawa cha [[joto]] na [[unyevu]] kwa mayai yote.
 
HugharimuHuchukua kwa wastani wa siku 21 tu mpaka mayai kuanguliwa. Mayai huanza kukomaa mara tu baada ya kuanza kutamiwa. Wakati wa kuanguliwa, kuku husaidia kuvunja mayai taratibu na kuwasaidia vifaranga kutoka.
Kuku kwa kawaida, hukaa kwenye kiota kwa siku mbili baada ya kuangua mayai yake. Mayai yote ambayo hayakurutubishwa na jogoo, hayataanguliwa. Kuku kisha kusubiri kwa siku kadhaa, hukiacha kiota chake. Kuku huwa mkali sana nyakati hizi, na kuwafunika vifaranga mara nyingi ili kuwapa joto. Huwaongoza kwenye chakula na maji, kuwaita kwenye chakula na mara kadhaa huwalisha moja kwa moja. Hukaa nao kwa wiki kadhaa mpaka wawe wakubwa, na pindi wanapokuwa, hupoteza hamu nao na kuanza kutaga nao.