Kiarabu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Masahihisho aliyefanya 71.7.235.207 (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na ChuispastonBot
Mstari 13:
== Asili ya lugha ya Kiarabu ==
Kiarabu pamoja na lugha ya [[Kiebrania]] (ya [[Wayahudi]]) na [[Kiaramu]] na [[Kiamhari]] (Ethiopia) zinatokana na asili moja ya [[lugha ya Kisemiti]]. Kuna lugha nyingi vile vile ambazo zinatokana na asili hii kama [[Kiashuri]] na [[Kifinisia]] na [[Kibabili]] na kadhalika. Baadhi ya hizi lugha zimekufa au kuwa na wazungumzi wachache, na kwa hivyo umuhimu wake umekuwa si mkubwa kama ulivyo umuhimu wa lugha ya Kiarabu.
 
WIKIMEDIA:
 
Kiarabu; Kingereza, Kifransa
 
Kiurdu; Farsi, Kiburma
 
Kiroma; Rusi, Espania
 
Kichina; Mandarin
 
Kigerumani
 
== Aina za Kiarabu ==