Kuhani mkuu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|right|200px|Kuhani mkuu akisaidiwa na [[Mlawi.]] '''Kuhani mkuu''' (kwa Kiebrania '''כהן גדול''' ''kohen gadol'') alikuw...'
 
nyongeza
Mstari 1:
[[Image:PLATE4DX.jpg|thumb|right|200px|Kuhani mkuu akisaidiwa na [[Mlawi]].]]
'''Kuhani mkuu''' ni cheo kikuu cha kuhani katika dini penye ngazi mbalimbali ya ukuhani. Hasa penye mahekalu makubwa yenye makuhani wengi mmoja aliweza kuwa na nafasi ya kiongozi na kuitwa kuhani mkuu.
'''Kuhani mkuu''' (kwa [[Kiebrania]] '''כהן גדול''' ''kohen gadol'') alikuwa kiongozi mkuu pekee wa [[ibada]] za [[dini]] ya [[Uyahudi]] tangu mwanzo wa taifa la [[Israeli]] hadi mwaka [[70]] [[B.K.]], [[hekalu la Yerusalemu]] lilipobomolewa moja kwa moja.
 
Katika dini za [[Sumeri]], [[Babeli]] na [[Misri ya Kale]] walikuwepo pia makuhani wakuu waliokuwa viongozi wa kidini kwa ufalme wote. Katika Babeli kulikuwa pia na makuhani wakuu wa kike.
Ilibidi awe [[mwanamume]] aliyezaliwa na [[baba]] wa [[ukoo]] wa [[Haruni]], [[kaka]] yake [[Musa]].
 
'''Katika [[Israeli ya Kale]] Kuhani mkuu'''Mkuu (kwa [[Kiebrania]] '''כהן גדול''' ''kohen gadol'') alikuwa kiongozi mkuu pekee wa [[ibada]] za [[dini]] ya [[Uyahudi]] tangu mwanzo wa taifa la [[Israeli]] hadi mwaka [[70]] [[B.K.]], [[hekalu la Yerusalemu]] lilipobomolewa moja kwa moja.
Wakati wa [[Yesu]] alikuwa mwenyekiti wa [[Baraza la Taifa la Israeli]] lenye wajiumbe 70 chini yake.
 
Ilibidi awe [[mwanamume]] aliyezaliwa na [[baba]] wa [[ukoo]] wa [[Haruni]], [[kaka]] yake [[Musa]].
 
Wakati wa [[Yesu]] alikuwa mwenyekiti wa [[Baraza la Taifa la Israeli]] lenye wajiumbewajumbe 70 chini yake. Chini ya utawala wa Dola la Roma kuhani mkuu wa Yerusalemu alikuwa pia na wajibu wa kisiasa kama kiongozi wa Wayahudi nchini.
 
Tangu kubomolewa kwa Hekalu ya Yerusalemu
 
==Viungo vya nje==