Mfululizo safu wa kikemia katika mfumo radidia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
New page: '''Mfululizo safu wa kikemia katika mfumo radidia''' humjumlisha kundi la elementi za kikemia zenye tabia za pamoja. Tabia hizo huendelea kubadilika ndani ya mfululizo huo hatua kwa ha...
(Hakuna tofauti)

Pitio la 19:17, 14 Septemba 2007

Mfululizo safu wa kikemia katika mfumo radidia humjumlisha kundi la elementi za kikemia zenye tabia za pamoja. Tabia hizo huendelea kubadilika ndani ya mfululizo huo hatua kwa hatua.

Kwa mfano: Kiwango cha kuyeyuka kinapungua na ukali wa mmenyuko unaongezeka katika mfululizo wa metali alkali.

Mifululizo kadhaa ni sawa na makundi ya mfumo radidia kwa mfano metali alkali ni sawa na kundi 1.