Fransisko wa Paola : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.1) (Roboti: Imeongeza hr:Sveti Franjo Paulski
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Franziskus von Paola.jpg|thumb|right|200px]]
'''Mtakatifu Fransisko wa Paola''' (kwa [[Kiitalia]] ''Francesco dida [[Paola]]''; [[27 Machi]], [[1416]] – [[2 Aprili]], [[1507]]) alikuwa [[mtawa]] nchini [[Italia]].
 
Ametambuliwa na [[Kanisa Katoliki]] chini ya [[Papa Leo X]] kuwa [[mtakatifu]] kuanzia mwaka wa [[1519]]. Tarehe ya kifo[[kif]]o chake, yaani [[2 Aprili]], pia ni [[sikukuu]] yake.
 
== Maisha ==
Fransisko alizaliwa kwa [[muujiza]] katika mji wa [[Paola]], mkoa wa [[Calabria]], [[Italia]], mwaka 1416. Wazazi wake walikuwa wamefikia uzee bila ya kuweza kuzaa, lakini walimuomba [[Fransisko wa Asizi]] na kuweka [[nadhiri]] kuwa mtoto wao ataitwa Fransisko. Ndipo walipojaliwa kuzaa.
 
Tangu [[utoto]]ni alishika maisha magumu ya [[sala]] na [[toba]] upwekeni.
 
Alianzisha shirika la watawa [[wakaa-pweke]], ambalo baadaye likawa [[Utawa wa Wadogo Kabisa]], likapata kibali kutoka kwa [[Papa]] mwaka [[1506]]. Pamoja na kuahidi [[mashauri ya Kiinjili]] matatu ya kawaida, wanaahidi pia kuishi daima kama wakati wa [[Kwaresima]].
 
[[Kanuni]] yake ni ya pekee, ingawa inafuata ile ya [[Ndugu Wadogo]] ikiiongezea [[malipizi]] makali ya [[mababu wa jangwani]].
 
Kauli-mbiu yake ilikuwa neno "caritas" (kwa [[Kilatini]], "[[upendo]]").
 
Fransisko alikufa mwaka 1507 huko [[Tours]], [[Ufaransa]] alipokuwa ametumwa na Papa.
Mstari 21:
 
== Marejeo ==
{{Commons category|Francis of Paola}}
* "Sala ya Kanisa - Vipindi vya Liturjia", Toleo la Tatu 1996, Ndanda - Peramiho: Benedictine Publications, uk.1328
*[http://www.francescodipaola.info FrancescoDiPaola.info ], Official website
*[http://www.catholic-forum.com/saints/saintf02.htm Catholic-Forum.com], site on Francis of Paola
*[http://www.catholic.org/saints/saint.php?saint_id=645 Catholic.org], Online entry for Francis of Paola
*[http://www.newadvent.org/cathen/06231a.htm NewAdvent.org], His entry at the ''[[Catholic Encyclopedia]]''
*Herbert Thurston, ''The Physical Phenomena of Mysticism,'' pp. 174–75
* [http://www.saintpetersbasilica.org/Statues/Founders/FrancisdePaola/Francis%20de%20Paola.htm SaintPetersBasilica.org], Founder Statue in St Peter's Basilica
 
{{mbegu-Mkristo}}
 
[[Jamii:Watakatifu wa Italia]]
[[Jamii:Waliozaliwa 1416]]
[[Jamii:Waliofariki 1507]]
[[Jamii:Watawa waanzilishi]]
[[Jamii:Waminimi]]
[[Jamii:Watakatifu wa Italia]]
 
[[ay:Francesco di Paola]]