Tofauti kati ya marekesbisho "Majadiliano:Makamu wa askofu"

no edit summary
(Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Je kuna kweli sababu ya kuwa na makala hii? Kwanza kichwa cha makala jinsi ilivyo ingetakiwa kutaja mamakamu wa maaskofu katika makanisa au madhehebu mbalimbali...')
 
 
Je kuna kweli sababu ya kuwa na makala hii? Kwanza kichwa cha makala jinsi ilivyo ingetakiwa kutaja mamakamu wa maaskofu katika makanisa au madhehebu mbalimbali. Pili sijui kuna kitu gani katika makamu sisiyo kawaida kwa makamu yoyote. Isingetosha kumtaka makamu katika makala ya askofu? [[Maalum:Michango/91.98.113.164|91.98.113.164]] 20:39, 31 Machi 2012 (UTC)
 
::Ukurasa huu upo katika lugha nyingine 16 pia. --[[Maalum:Michango/41.221.34.70|41.221.34.70]] 12:33, 5 Aprili 2012 (UTC)
Anonymous user