Elizabeth Ann Seton : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 5:
== Maisha yake ==
 
Elizabeth Ann Bayley alizaliwa [[New York]] katika [[familia]] ya ushirika wa [[Anglikana]]: tarehe [[25 Januari]] [[1794]], akiwa na umri wa miaka 19, [[ndoa|aliolewa]] na mfanyabiashsaramfanyabiashara tajiri William Seton, akamzalia watoto watano.
 
Alipobaki [[mjane]] tarehe [[27 Desemba]] [[1802]]) alifunga safari ya kiroho iliyomfanya aongokee [[Kanisa Katoliki]] tarehe [[25 Machi]] [[1805]].
 
Akahamia [[Baltimore]], chini ya [[askofu]] [[John Carroll]], akaanza utume wake kwa wanawake wajane wenye watoto wadogo na kuanzisha shule nyingi.
 
Tarehe [[1 Juni]] [[1809]] alianzisha [[utawa|shirika la kitawa]] lenye kufuata roho ya [[Vinsenti wa Paulo]] akahamia [[Emmitsburg]], kwenye [[Maryland]]: mwaka.

Mwaka [[1812]] alipokea [[katiba]] ya [[Mabinti wa Upendo wa Mt. Vinsenti wa Paulo]], iliyorekebishwa na kuidhinishwa na askofu Carrol.

Kundi lsla kwanza la masista (mama Seton na wenzake 16) waliweka [[nadhiri]] zao za daima]] tarehe [[19 Julai]] [[1813]].
 
Alifariki mwaka [[1821]].
 
== Heshima aliyopewa ==
Mchakato wa kumtangaza [[mwenyeheri]] ulianza mwaka [[1907]] na kumalizika [[Papa Yohane XXIII]] alipomtangaza [[mwenye heri]] tarehe [[17 Machi]] [[1963]].

Tarehe [[14 Septemba]] [[1975]] [[Papa Paulo VI]] alimtangaza kuwa [[mtakatifu]]. Sikukuu yake ni 4 Januari.