Kingoni : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
d +jamii using AWB
Mstari 1:
'''Kingoni''' ni lugha ya Kibantu nchini [[Tanzania]] na [[Msumbiji]] inayozungumzwa na [[Wangoni]]. Kimetokana na lugha ya [[Kizulu]] Wangoni walipohama Afrika ya Kusini wakati wa [[Shaka Zulu]]. Mwaka wa 1987 idadi ya wasemaji wa Kingoni nchini Tanzania imehesabiwa kuwa watu 170,000. Pia kuna wasemaji 53,000 nchini Msumbiji. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa [[Malcolm Guthrie]] Kingoni kiko katika kundi la N10.
 
 
==Viungo vya nje==
Line 20 ⟶ 19:
{{DEFAULTSORT:Ngoni}}
[[Jamii:Lugha za Tanzania]]
[[Jamii:Lugha za Kibantu]]
[[Jamii:Lugha za Msumbiji]]