Bantustan : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d robot Adding: id:Bantustan
No edit summary
Mstari 5:
Neno Bantustan liliundwa na maneno "[[Bantu]]" (la kutaja Waafrika Weusi) na "-stan" (linalomaanisha kwa [[Kiajemi]] nchi ya watu fulani kama vile [[Uzbekistan]] = nchi ya Wauzbeki).
 
Maneno mengine yaliyotumiwa yalikuwa "homeland" ([[Kiingereza]]) na "tuisland" ([[Kiafrikaans]] "nchi ya nyumbani").
 
==Bantustan kama nchi huria kwa jina==