Atanasi wa Aleksandria : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.2+) (Roboti: Imebadilisha: ko:알렉산드리아의 아타나시우스
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Sainta15.jpg|thumb|300px|right|[[Picha]] ya [[Atanasi wa Aleksandria]], [[Askofu mkuu]] ([[Patriarki]]) wa [[Aleksandria]] na mtetezi mkuu wa [[umungu]] wa [[Yesu Kristo]].]]
[[Picha:StAthanasiusShrineinStMarkCathedralCairo.jpg|thumb|right|[[Patakatifu]] pa Atanasi (panapotunza [[masalia]] yake) chini ya [[kanisa kuu]] la [[Marko mtakatifu]] huko [[Kairo]] (Misri).]]
'''Atanasi wa Aleksandria''' anayeitwa ''Mkuu'' ([[295]] hivi - [[2 Mei]] [[373]]) alikuwa [[AskofuPatriarki]] wa [[Kanisa Katoliki]] la [[madhehebu]] ya [[Misri]] aliyetetea [[imani]] ya [[Kanisa]] kati ya [[mitaguso ya kiekumene]] ya kwanza.
 
Anaheshimiwa kamana Wakatoliki, [[mtakatifuWaorthodoksi]] na Wakatoliki, [[Waorthodoksi wa Mashariki]] kama [[mtakatifu]] na [[Waorthodoksibabu wa MasharikiKanisa]]. Anakumbukwa pia katika kalenda ya [[Waanglikana]] na [[Walutheri]]. Wakatoliki walimuongezea sifa ya [[mwalimu wa Kanisa]].
 
Wote wanaadhimisha [[sikukuu]] yake kila tarehe [[2 Mei]].
Mstari 9:
== Maisha ==
 
Atanasi alizaliwa Aleksandria wa Misri mwishoni mwa [[karne III]], wakati [[dhuluma]] za [[Dola la Roma]] dhidi ya [[Ukristo|Wakristo]] zilizuwa zikielekea kilele halafuna kikomo chake.
 
Alikulia katika [[jiji]] hilo, ambalo wakati huo lilikuwa likiongoza kimataifa upande wa [[ustaarabu]] na [[elimu]].
 
Upande wa dini, Wakristo wa KimisriMisri walikuwa na [[chuo]] muhimu, lakini kulikuwa pia na wafuasi wengi wa [[Gnosis]] na wa [[dini za jadi]] zilizoabudu [[miungu]] mingi.
Maisha yote ya Atanasi yanahusika na juhudi kubwa za [[Kanisa Katoliki]] kwa ajili ya kufafanua na kutetea [[imani sahihi]] juu ya [[Yesu]] na juu ya [[Utatu]].