Magatuzi ya Kenya : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Kenya''' imegawanywa katika Magatuzi arobaini na saba (47), kulingana na Katiba ya Kenya. Magatuzi haya yatasimamiwa na gavana atakayechagul...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 12:33, 8 Aprili 2012

Kenya imegawanywa katika Magatuzi arobaini na saba (47), kulingana na Katiba ya Kenya. Magatuzi haya yatasimamiwa na gavana atakayechaguliwa pamaoja na naibu wake katika uchaguzi mku utakayoandaliwa kila miaka mitano. Haya magatuzi pia yatatumiwa kuchagua wanawaka, katika bunge ya kenya. Mipaka ya magatuzi katika uchaguzi wa mwaka 2012 yatakuwa yale yaliyotumiwa ya Wilaya ya Kenya