Kasi ya nuru : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 1:
'''Kasi ya nuru''' imekubaliwa kuwa [[
Katika [[nadharia ya uhusiano]] ya [[Einstein]] kasi ya nuru inadhaniwa kuwa ni ileile wakati wowote pia katika hali yoyote. Yaani kasi inabaki ileile hata kama nuru inatoka katika chombo chenye kasi yenyewe au kama mtazamaji ana mwendo wake mwenyewe. Katika nadharia hii hakuna mwendo mwenye kasi kushinda nuru. Kasi ya nuru imekuwa kipimo cha kimsingi katika [[sayansi]] za [[fizikia]] na [[unajimu]].
|