Kasi ya nuru : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
sahihisho uhusianifu
Mstari 1:
'''Kasi ya nuru''' imekubaliwa kuwa [[nuru]] inatembea mita 299,792,458 kwa [[sekunde]] moja katika uvungu. Kama nuru inapita katika [[hewa]] kasi yake inapungua.
 
Katika [[nadharia ya uhusianouhusianifu]] ya [[Einstein]] kasi ya nuru inadhaniwa kuwa ni ileile wakati wowote pia katika hali yoyote. Yaani kasi inabaki ileile hata kama nuru inatoka katika chombo chenye kasi yenyewe au kama mtazamaji ana mwendo wake mwenyewe. Katika nadharia hii hakuna mwendo mwenye kasi kushinda nuru. Kasi ya nuru imekuwa kipimo cha kimsingi katika [[sayansi]] za [[fizikia]] na [[unajimu]].
 
Kasi hiyo haihusu nuru pekee inayoonekana kwa macho ya binadamu lakini pia kwa aina mbalimbali ya [[mnururisho]] kama [[mawimbi ya redio]] n.k.