Uchaguzi nchini Kenya : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
CGN2010 (majadiliano | michango)
d clean up using AWB
Mwanzo wa marekebisho muhimu
Mstari 1:
{{Politics of Kenya}}
'''Uchaguzi Mkuu nchini Kenya''' hufanyika baada ya kila miaka mitano. Katika miaka ya hivi karibuni. [[Kenya]] imekuwa ikikumbwa na mizozo wakati wa uchaguzi, kwa mfano shuhudio la [[Uchaguzi wa Urais wa Kenya, 2007|uchaguzi wa urais]] mnamo [[2007]]. Ingawa [[Mfumo wa Vyama Vingi Nchini Kenya|mfumo wa vyama vingi]] ulianzishwa nchini mnamo 1992 na licha ya nchi hii kufanya uchaguzi tangu [[1962]], bado kuna matatizo makubwa ya taasisi za kisiasa ambayo huifanya hali kuwa viumuvigumu kumaliza uchaguzi bila mizozo. .<ref name = ifes>{{cite report| title= The Electoral Process in Kenya: A Review of Past
 
'''Uchaguzi Mkuu nchini Kenya''' hufanyika baada ya kila miaka mitano. Katika miaka ya hivi karibuni. [[Kenya]] imekuwa ikikumbwa na mizozo wakati wa uchaguzi, kwa mfano shuhudio la [[Uchaguzi wa Urais wa Kenya, 2007|uchaguzi wa urais]] mnamo [[2007]]. Ingawa [[Mfumo wa Vyama Vingi Nchini Kenya|mfumo wa vyama vingi]] ulianzishwa nchini mnamo 1992 na licha ya nchi hii kufanya uchaguzi tangu [[1962]], bado kuna matatizo makubwa ya taasisi za kisiasa ambayo huifanya hali kuwa viumu kumaliza uchaguzi bila mizozo. .<ref name = ifes>{{cite report| title= The Electoral Process in Kenya: A Review of Past
Experience and Recommendations for Reform | url = http://www.ifes.org/publication/077c11dc773ce6e94745f7ab711cf11e/IFES%20KENYA%20OSIEA_Aug22_FINAL.pdf| publisher = International Foundation for Electoral Systems| year = 2008}}</ref>
 
==Muundo wa Uchaguzi==
[[Kenya]] hufdanya uchaguzi wa kitaifa, huku ikimchagua [[Kiongozi wa Nchi]] ambaye ni [[Rais]] na pia [[Bunge la Kenya|baraza la wabunge]].
Rais huchaguliwa na raia kwa kipindi cha miaka mitano. [[Bunge la Kenya|Bunge]] lina wabunge 224, 210 kati yao waliochaguliwa na raia kutoka katika kila [[Orodha ya Maeneo Bunge ya Kenya|jimbo la Uchaguzi]] kwa kipindi cha miaka mitano. 12 ni wabunge wateule.
 
==Historia==
Baada ya majadiliano na serikali ya Ukoloni ya [[Britain]] mnamo 1963, Serikali iliruhusu mfumo wa ‘’Kura moja kwa kila mmoja’’ mnamo 1963.<ref name = ifes/> Uchaguzi wa kwanza uliisha taratibu huku [[JOmoJomo Kenyatta]] akichaguliwa kama raisWaziri Mkuu wa kwanza wa Kenya mnamo 19641963. Mwaka uliofuata, chama chake cha KANU ilihariri katiba ya Kenya kumfanya Kenyatta Rais wa kwanza wa Kenya<ref name = ifes/> Hata hivyo, chiniChini ya uongozi wake, ushindani uliisha pole pole wakati vyama vya kisiasa vyote viliungana na, au kudhulumiwa na chama tawala cha [[KANU]]. ).<ref name = ifes/>. Hii ilipelekea kuundwa kwa mfumo wa chama kimoja nchini mnamo hata baada ya kifo cha [[Jomo Kenyatta]] mnamo 1978.
 
[[Kenya]] iligeuzwa rasmi kuwa nchi ya chama kimoja cha Kisiasa mnamo 1982 kufuatia mabadiliko ya katiba<ref name = ifes/>.
Baada ya maandamano ya [[Maandamano ya Saba Saba|Saba Saba]] mnamo 1990, KANU ilijikunja na kuanza mikakati ya kurekebisha mfumo wa kisiasa.<ref name = ifes/> Mnamo 1992, kipengele ambacho kilikuwa kimeifanya Kenya kuwa na mfumo wa Chama Kimoja kilifutwa na Kenya ikarejea kuwa na Mfumo wa Vyama Vingi.<ref name = ifes/>. Uchaguzi wa kwanza chini ya mfumo huo ulifanyika mnamo 1992 huku wa pili ukifanyika mnamo 1997. Katiba ya Kenya haikuwa imefanyiwaimerekebishwa marekebisho ya kutosha ili kuendeha mfumo huu. Hata hivyo, mnamo 2002, shughuli za uchaguzi zilitajwa kuwa za haki na huru na Jamii ya Kimaataifa, huku KANU ilkipokeza mamlaka kwa chama cha [[National Rainbow Coalition]] ([[NARC]])<ref name = ifes/>
 
Baada ya maandamano ya [[Maandamano ya Saba Saba|Saba Saba]] mnamo 1990, KANU ilijikunja na kuanza mikakati ya kurekebisha mfumo wa kisiasa.<ref name = ifes/> Mnamo 1992, kipengele ambacho kilikuwa kimeifanya Kenya kuwa na mfumo wa Chama Kimoja kilifutwa na Kenya ikarejea kuwa na Mfumo wa Vyama Vingi.<ref name = ifes/>. Uchaguzi wa kwanza chini ya mfumo huo ulifanyika mnamo 1992 huku wa pili ukifanyika mnamo 1997. Katiba ya Kenya haikuwa imefanyiwa marekebisho ya kutosha kuendeha mfumo huu. Hata hivyo, mnamo 2002, shughuli za uchaguzi zilitajwa kuwa za haki na huru na Jamii ya Kimaataifa, huku KANU ilkipokeza mamlaka kwa chama cha [[National Rainbow Coalition]] ([[NARC]])<ref name = ifes/>
 
==Mfumo wa vyama Vingi tangu 1992==
# [[Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 1992]]
Line 21 ⟶ 15:
# [[Uchaguzi wa Urais wa Kenya, 2007]]
# [[Uchaguzi wa Bunge la Kenya, 2007]]
 
==Uchaguzi wa Awali==
{{Kenyan elections}}
 
==Tazama Pia==
* [[Siasa ya Kenya]]
* [[Tume Huru ya Uchaguzi yana KenyaMipaka]]
 
==Virejeleo==
{{reflist}}
 
==Viungo vya Nje==
* [http://africanelections.tripod.com/ke.html African Elections Database]
* [http://psephos.adam-carr.net/countries/k/kenya/ Adam Carr's Election Archive]
* 2008 [[IFES]] analysis of Kenya's electoral history titled [http://www.ifes.org/publication/077c11dc773ce6e94745f7ab711cf11e/IFES%20KENYA%20OSIEA_Aug22_FINAL.pdf The Electoral Process in Kenya:A Review of Past Experiance and Recomendations for Reform]
 
{{Africa in topic|Uchaguzi nchini}}
 
{{DEFAULTSORT:Elections In Kenya}}
[[Jamii:Siasa ya Kenya]]
[[Jamii:Uchaguzi nchini Kenya| ]]
 
 
{{Africa-election-stub}}
{{Kenya-gov-stub}}
 
[[en:Elections in Kenya]]