Etimolojia ya neno Zanzibar : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
viungo
mpangilio wa makala
Mstari 17:
Swali ni kama Burton alikosa pia kuhusu etimolojia ya "Zanj - Zangi". Tatizo ni ya kwamba hakuna sababu kuwaza badiliko la "g" ya kiajemi kuwa sauti ya "z" katika Kigiriki kutokana na utaratibu wa lugha ya Kigiriki. Kuna uhusiano wa neno letu na jina la kale "Zingis" ([[Claudius Ptolemaios]], i. 17, 9; iv. 7, 11) and "Zingium" ([[Cosmas Indicopleustes]]) kwa ajili ya pwani la Afrika ya Mashariki.
 
==Azania, Zanj na Zanguebar==
Kwa mahitaji yetu inatosha kusema ya kwamba kuna jina la kale kwa ajili ya mwambao wa Afrika ya Mashariki lililowahi kutajwa kwa umbo tofauti katika karne za kale kama vile Zingis, Zingium, Azania, au nchi (=bar) ya „Zanj“ (kiarabu) au ya „Zangi“ (kiajemi). Wajemi na Waarabu wote walitaja pia watu weusi kwa neno hili. „Zangibar“ au „zanjbar“ ni „nchi ya watu weusi“.