Etimolojia ya neno Zanzibar : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
mpangilio wa makala
No edit summary
Mstari 18:
 
==Azania, Zanj na Zanguebar==
Kwa mahitaji yetu inatosha kusema ya kwamba kuna jina la kale kwa ajili ya mwambao wa Afrika ya Mashariki lililowahi kutajwa kwa umbo tofauti katika karne za kale kama vile Zingis, Zingium, [[Azania]], au nchi (=bar) ya „Zanj“„[[Zanj]]“ ([[kiarabu]]) au ya „Zangi“ (kiajemi). Wajemi na Waarabu wote walitaja pia watu weusi kwa neno hili. „Zangibar“ au „zanjbar“ ni „nchi ya watu weusi“.
 
 
[[Wareno]] waliandika jina hili kama „Zanguebar“ kwa matamshi ya Kiajemi hivyo ndivyo inavyoonekana katika ramani za Kiulaya kuanzia karne ya 15 hadi 19. BK. Wareno walianza baadaye kutofautisha kati ya bara na kisiwa wakiandika jina la kisiwa mbele ya pwani la „Zanguebar“ kama „Zanzibar“ yaani kwa namna inayolingana zaidi na matamshi ya Kiarabu lakini waliendelea kusema "Zanguebar" wakimaanisha bara.