Zanj : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
New page: '''Zanj''' (Kiarabu na Kifarsi '''زنج''') ni neno lililotumiwa na waandishi Waislamu wa zamani kutaja watu weusi kutoka Afrika ya Mashariki na pia kwa maana ya kijiografia kutaj... |
No edit summary |
||
Mstari 23:
Maisha ya watumwa yalikuwa ngumu mno wakitendewa vibaya na mabwana na kuanzia mwaka [[869]] BK walianza kuasi dhidi ya hali hiyo.
Wakiongozwa na Mwafrika [[Ali bin
Wazanj walifaulu mara kadhaa kushinda jeshi za [[Khalifa]] wa [[Baghdad]] wakateka mji wa [[Basra]] mwaka [[871]]. Wakajenga miji yao na Mukhtara ilikuwa mji mkuu wa mahdi.
Mwishowe Waarabu walifaulu [[883]] kukandamiza uasi. Ali alikatwa kichwa na Wazanj wasiouawa wakarudishwa utumwani.
|