Zanj : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 23:
Maisha ya watumwa yalikuwa ngumu mno wakitendewa vibaya na mabwana na kuanzia mwaka [[869]] BK walianza kuasi dhidi ya hali hiyo.
 
Wakiongozwa na Mwafrika [[Ali bin MohammadMuhammad]] walichukua silaha na kupigania uhuru wao. Huyu Ali alidai ya kwamba alitoka katika ukoo wa [[Ali ibn Abu Talib]] akajitangaza kuwa [[mahdi]] na kudai ni yeye atakayekamilisha Uislamu wa kweli.
 
Wazanj walifaulu mara kadhaa kushinda jeshi za [[Khalifa]] wa [[Baghdad]] wakateka mji wa [[Basra]] mwaka [[871]]. Wakajenga miji yao na Mukhtara ilikuwa mji mkuu wa mahdi.