Zanj : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 16:
Katika historia ya Kiislamu jina la Zanj lajulikana hasa kutokana na watumwa wa Zanj katika [[Iraki]] ya kusini.
 
Katika karne ya 9 [[BK]] watumwa wengi Waafrika walipatikana katika mazingira ya mji wa [[Basra]]. Waarabu walianza kubadilisha maeneo ya kinamasi katika kusini kuwa mashamba makubwa ya [[miwa]]. Maeneo haya yalifunikwa na ganda la chumvi. Chumvi hii ilipaswa kundolewa hadi ardhi yenyewe ilipatikana. Kazi ilifanyailifanywa na watumwa weusi waliopaswa pia kuchimba mifereji naya kulima.kuondoa Wenginemaji walipaswana kuchimba chumvikulima.
 
Watumwa hawa waliitwa kwa ujumla "Zanj" kwa maana walikuwa hasa Waafrika hata kama wengine walikuwa Wanubia au Wahabeshi. Idadi kubwa ya wakazi wa Irak kusini walikuwa watumwa weusi wakati ule.
Mstari 25:
Wakiongozwa na Mwajemi [[Ali bin Muhammad]] walichukua silaha na kupigania uhuru wao. Huyu Ali alidai ya kwamba alitoka katika ukoo wa [[Ali ibn Abu Talib]] akajitangaza kuwa [[mahdi]] na kudai ni yeye atakayekamilisha Uislamu wa kweli.
 
Wazanj walifaulu mara kadhaa kushinda jeshi za [[Khalifa]] wa [[Baghdad]] wakateka mji wa [[Basra]] mwaka [[871]]. Wakajenga miji yao na Mukhtara ilikuwaikawa mji mkuu wa mahdi.
Mwishowe Waarabu walifaulu [[883]] kukandamiza uasi. Ali alikatwa kichwa na Wazanj wasiouawa wakarudishwa utumwani.