Zanj : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 27:
Wazanj walifaulu mara kadhaa kushinda jeshi za [[Khalifa]] wa [[Baghdad]] wakateka mji wa [[Basra]] mwaka [[871]]. Wakajenga miji yao na Mukhtara ikawa mji mkuu wa mahdi.
Mwishowe WaarabuBaadaye walifaulujeshi la khalifa lililoimarishwa kwa vikosi kutoka [[Misri]] likafaulu [[883]] kukandamizakuteka al-Mukhtara na kumaliza uasi. Ali alikatwa kichwa na Wazanj wasiouawa wakarudishwa utumwani.
 
Baadaye Waarabu hawakuweka tena watumwa wengi hivi mahali pamoja kwa hofu ya uasi mpya.