Tofauti kati ya marekesbisho "23 Septemba"

77 bytes added ,  miaka 8 iliyopita
+ sikusare
(+ sikusare)
{{Septemba}}
'''23 Septemba''' kwa kawaida ama ni [[sikusare otomnia]] ya kaskazini au siku ya kwanza baada ya [[sikusare]] hiyo. Katika nusutufe ya kaskazini ya dunia mchana huanza kuwa mfupi na muda wa usiku kuwa mrefu zaidi kuliko mchana. Kwenye nusutufe ya kusini mwendo ni kinyume, kuanzia sasa mchana hurefuka na giza ya usiku kupungua. Mabadiliko haya yanaonekana kote duniani kwenye umbali fulani kutoka ikweta.
 
== Matukio ==