Tofauti kati ya marekesbisho "Sikusare machipuo"

4 bytes added ,  miaka 9 iliyopita
kiungo
(kiungo)
Sikusare machipuo ni sikusare ambako kipindi cha [[usiku]] mrefu umekwisha na kipindi cha nusu mwaka kinaanza ambako mchana ni mrefu kuliko usiku. Kuongezeka wa muda wa mchana kunasababisha kupanda kwa halijoto hivyo katika nchi zenye majira baridi mimea huanza kuotea majani mapya.
 
Sikusare ya machipuo inakadiriwa kuwa [[21 Machi]] kwenye nusutufe ya kaskazini na [[23 Septemba]] kwenye nusutufe ya kusini.
 
[[jamii:Kalenda]]