Kenya : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.1) (Roboti: Imebadilisha: gu:કેન્યા
d →‎Michezo: marekebisho ya misamiati
Mstari 516:
 
==Michezo==
{{seemain|SportMichezo inya Kenya}}
Kenya hushiriki katika michezo mbalimbali ikiwemo kriketi, mbio za magari, soka, ragbiraga na ngumi. Lakini nchi hii inajulikana hasa kwa kutawala katika mbio za masafa ya kadri na mbio za masafa marefu. Kenya, kwa muda mrefu, imetoa mabingwa wa Olimpiki na michezo ya Jumuia ya Madola katika nyanja mbalimbali, hasa katika mbio za mita 800, mita 1,500, mita 3,000 kuruka viunzi na maji, mita 5,000, mita 10,000 na mbio za masafa marefu. Wanariadha wa Kenya (hasa wenye kabila ya Wakalenjin) wanaendelea kutawala mbio za masafa ulimwenguni, ingawa ushindani kutoka nchi ya Morocco na Ethiopia umepunguza umaarufu huu. Wanariadha wa Kenya wanaosifika sana ni pamoja na mshindi mara-nne wa mbio za masafa marefu za Boston kwa wanawake na mshindi mara-mbili wa mbio za dunia Catherine Ndereba, aliyeshikilia rekodi ya awali ya mbio za dunia Paul Tergat, na John Ngugi.
Kenya ilishinda medali kadhaa wakati wa michezo ya Olimpiki ya Beijing, 56 za dhahabu, 54 za fedha, 4 za shaba na kulifanya taifa lililofaulu sana barani Afrika katika michezo ya Olimpiki ya mwaka 2008. Wanariadha wapya walitambulikana, kama Pamela Jelimo, mshindi wa medali ya dhahabu katika mbio za mita 800 kwa wanawake aliyejitahidi na kushinda tuzo la Golden League, na Samuel Wajiru aliyeshinda mbio za masafa marefu kwa wanaume.
 
Kenya ilishinda medali kadhaa wakati wa michezo ya Olimpiki ya Beijing, 5 za dhahabu, 5 za fedha, 4 za shaba na kulifanya taifa lililofaulu sana barani Afrika katika michezo ya Olimpiki ya mwaka 2008. Wanariadha wapya walitambulikana, kama Pamela Jelimo, mshindi wa medali ya dhahabu katika mbio za mita 800 kwa wanawake aliyejitahidi na kushinda tuzo la Golden League, na Samuel Wajiru aliyeshinda mbio za masafa marefu kwa wanaume.
 
Bingwa mstaafu wa mbio za Olimpiki na za Jumuia ya Madola, Kipchoge Keino, alisaidia kuanza ubingwa wa mbio za masafa marefu miaka ya 1970 na akafuatwa na Bingwa wa michezo ya Jumuia ya Madola, Henry Rono, aliyeshikilia rekodi kadhaa za dunia.
 
Hivi majuzi, kumekuwa na mzozo wa wanariadha wa Kenya, kufuatia kusaliti nchi yao Kenya na kuwakilisha nchi nyingine hasa Bahrain na Qatar.<ref name="IAAF">IAAF: [http://www.iaaf.org/newsfiles/42196.pdf Mabadiliko ya utii 1998-2005]</ref> Wizara ya michezo ya Kenya imejaribu kuzuia usaliti huu, lakini umeendelea tu, Bernard Lagat akiwa wa mwisho, akichagua kuiwakilisha Merekani.<ref name="IAAF" /> Usaliti huu, kwingi unatokana na sababu za kiuchumi au kifedha ingawa wanariadha wazuri wasioweza kufaulu kuwa kwa timu hii nzuri ya taifa huona ni raisi kufaulu kwa kukimbilia nchi nyingine.
 
Kenya pia imetawala voliboli ya wanawake hapa Afrika, huku vilabu na timu ya taifa ikishinda mashindano kadhaa barani Afrika katika mwongo uliopita. {{Citation needed|date=November 2008}} Timu ya wanawake pia imeshiriki katika michezo ya Olimpiki na Mashindano ya Ulimwengu ingawa haijafaulu vilivyo.
Mchezo wa kriketi ni maarufu na pia ni mchezo wa timu ambao umefaulu sana. Kenya imeshiriki katika Kombe la UlimwenguDunia la Kriketi tangu 1996. Timu hii ilishinda baadhi ya timu maarufu ulimwenguni na kufikia semi fainali katika mchuano wa 2003. Walishinda ligi ya kriketi ya dunia daraja la 1 iliyofanyiwa hapa Nairobi kwa mara ya kwanza kisha wakashiriki katika mchuano wa ulimwengu wa T20. Nahodha wa sasa wa timu ni SteveCollins TikoloObuya.
 
Kenya imejiundia jina katika muungano wa ragbiraga. Mchezo huu ni maarufu nchini Kenya hasa kwa sababu ya mchuano wa kila mwaka wa Safari Sevens. [[Muungano rugby Kenya timu ya taifa (sevens)|Timu ya Kenya]] ya ragbiraga ya wachezaji saba kila upande ilikuwa nambari ya 9 katika michezo ya dunia ya wachezaji saba IRB katika msimu wa mwaka 2006.
Mchezo wa kriketi ni maarufu na pia ni mchezo wa timu ambao umefaulu sana. Kenya imeshiriki katika Kombe la Ulimwengu la Kriketi tangu 1996. Timu hii ilishinda baadhi ya timu maarufu ulimwenguni na kufikia semi fainali katika mchuano wa 2003. Walishinda ligi ya kriketi ya dunia daraja la 1 iliyofanyiwa hapa Nairobi kwa mara ya kwanza kisha wakashiriki katika mchuano wa ulimwengu wa T20. Nahodha wa sasa wa timu ni Steve Tikolo.
 
Kenya imejiundia jina katika muungano wa ragbi. Mchezo huu ni maarufu nchini Kenya hasa kwa sababu ya mchuano wa kila mwaka wa Safari Sevens. [[Muungano rugby Kenya timu ya taifa (sevens)|Timu ya Kenya]] ya ragbi ya wachezaji saba ilikuwa ya 9 katika michezo ya dunia ya wachezaji saba IRB katika msimu wa mwaka 2006.
 
Kenya ilikuwa bingwa wa soka katika eneo hili lakini ubingwa huu umefifia kutokana na kutoelewana kwa maafisa wa Kamati ya Soka Nchini.<ref>New Vision, Juni 3, 2004: [http://www.newvision.co.ug/PA/8/30/364022 Wrangles ardhi Kenya utan fastställd FIFA marufuku]</ref> Mizozo hii ilipelekea Kenya kupigwa marufuku na FIFA, lakini marufuku hii iliondolewa mnamo Machi 2007.
 
Kwa upande wa mbio za magari, Kenya ndio waandalizi wa mbio za magari maarufu za Safari Rally zinazotambulika kuwa ngumu zaidi ulimwenguni,<ref>The Auto Channel, Julai 21, 2001: [http://www.theautochannel.com/news/2001/07/22/025841.html FIA Rally: Delecour inachukua pointi kumaliza tarehe Safari Rally kwanza]</ref> na ambazo ni sehemu ya Bingwa wa Mbio za Magari kwa miaka mingi hadi kuondolewa kwake baada ya mbio za 2002 kwa sababu ya matatizo ya kifedha. Baadhi ya madereva maarufu wa mbio za magari ulimwenguni walioshiriki na kushinda mbio hizi ni kama, Bjorn Waldegard, Hannu Mokkola,Tommi Makinen, Shekhar Mehta,Carlos Sainz, na Colin McRae. Ingawa mbio hizi bado huendelea kila mwaka kama sehemu ya kutafuta Bingwa wa Mbio za Magari Afrika, waandalizi wanatarajia kuruhusiwa kujiunga tena na Ubingwa wa Magari Ulimwenguni katika miaka michache ijayo.