National Rainbow Coalition : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.1) (roboti Nyongeza: fr:National Rainbow Coalition
dNo edit summary
Mstari 1:
'''National Rainbow Coalition (NARC)''' ni chama cha kisiasa nchini [[Kenya]] kilichoanzishwa kabla ya uchaguzi wa mwaka 19922002.
==NARC kama maunganomuungano ya vyama==
 
Ilikuwa maunganomuungano wa vyama mbalimbali vya upinzani dhidi ya [[KANU]] na rais [[Daniel arap Moi]]. Ilikuwa hasa na pande mbili:
==NARC kama maungano ya vyama==
Ilikuwa maungano wa vyama mbalimbali vya upinzani dhidi ya [[KANU]] na rais [[Daniel arap Moi]]. Ilikuwa hasa na pande mbili:
*vyama vya [[National Alliance Party of Kenya]] (NAK) iliyounganisha [[Democratic Party (Kenya)|Democratic Party]] ya [[Mwai Kibaki]] , [[Ford-Kenya]] chini ya [[Michael Wamalwa]] na NPK chini ya [[Charity Ngilu]] pamoja na vyama vidogo mbalimbali
* Chama cha [[LDP (Kenya)|LDP]] kilichounganisha wanasiasa walioondoka katika KANU baada ya [[Uhuru Kenyatta]] kutangaziwa kuwa mgombea wa urais. Kati yao walikuwa hasa Raila Odinga na wanachama wa awali wa NDP, halafu wana-KANU wa miaka mingi waliosikitika jinsi Moi alimteua Uhuru Kenyatta kuwa mfuasi wake.
 
==Memorandum of Understanding==
Msingi wa ushirikiano ulikuwa mapatano kati ya pande za NARC yaliyoitwa "Memorandum of Understanding" (MoU). Hapo walipatana ya kuwa:
*Kibaki atakuwa rais, Michael Wamalwa makamu wake
*NAK na LDP zitapewa kila upande nusu ya mawaziri katika serikali
*katika muda wa siku 100 katiba itabadilishwa itakayopunguza madarakamamlaka yaza rais
*sehemu ya madarakamamlaka yaza rais zitakabidhiwa kwa ofisi mpya ya waziri mkuu
*Raila atakuwa waziri mkuu wa serikali ya NARC, Charity Ngilu makamu wake.
 
==Ushindi na mwanzo wa farakano==
NARC ikashinda uchaguzi wa 2002 na Kibaki akawa rais mpya. LDP ilikuwa na wabunge wengi kati ya vyama vya NARC. Lakini Kibaki hakutekeleza azimio la pamoja katika ''Memorandum of Understanding'' kupatia LDP nusu ya mawaziri wala kuwezesha mabadiliko ya katiba ya kumpa Odinga nafasi ya waziri mkuu.
 
LDP iliendelea kudai mapatano yafuatwe, ikakataliwa na polepole kuelekea upande wa upinzani hata kama bado ilikuwa sehemu ya serikali.
 
==NARC kutoshikamana kuhusu katiba 2005==
Katika miaka iliyofuata farakano ilikua. Mwaka 2005 Kibaki alijaribu kupitisha katiba mpya isiyopunguza sana madarakamamlaka yakeza afisi ya rais. Hapa sehemu kubwa ya LDP pamoja na KANU wakiungana kwa harakati ya machungwa (ODM) walipinga pendekezo la katiba katika kura maalumu ya wananchi, na pendekezo likakataliwa na wananchi.
 
==Kuondoka kwa LDP==
Kibaki alijibu kwa kufuta serikali akiwaachisha mawaziri wote. Serikali mpya ilikuwa bila wawakilishi wa LDP tena.
 
Sasa Raila pamoja na Uhuru wa KANU waliunda harakati mpya ya ODM (Orange Democratic Movement) kwa kusudi la kugombea uchaguzi wa 2007.
Hii ilikuwa mwisho wa NARC kama chama tawala.
 
==Mabaki ya NARC==
Kiongozi wa kisheria alikuwa [[Charity Ngilu]] asiyekubaliwa na sehemu ya viongozi waliokuwa karibu na rais. Hivyo walianzisha 2006 kitengo kipya kwa jina la [[NARC-Kenya]] iliyoingia 2007 katika maungano ya [[Party of National Unity (Kenya)|PNU]] ya Kibaki.
 
Ngilu aliamua Septemba 2007 kusimama upande wa Raila Odinga. Katika uchaguzi wa 2007 NARC iliweza kusimamisha wagombea wachache nje ya maungano ya [[Orange Democratic Movement]] na watatu walichaguliwa.
 
[[Jamii:Vyama vya kisiasa Kenya]]
 
[[en:National Rainbow Coalition]]
[[fr:National Rainbow Coalition]]