Breki : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.6.4) (roboti Badiliko: eo:Bremso
d r2.7.2) (Roboti: Imeongeza vi:Thắng (cơ học); cosmetic changes
Mstari 1:
[[ImagePicha:Bremsanlage.jpg|thumb|300px|Breka ya sahani ya motokaa; sahani ni sehemu ya habi ya gurudumu na tairi inafungwa hapa. Sehemu nyekundu ina viatu vya breki ndani yake vinavyoshika sahani kama dereva anakanyaga pedali]]
[[Picha:Breki baisikeli zamani.jpg|thumb|Breki ya baisikeli yenye uwezo mdogo; kiatu cha breki husukumwa kwa nguvu ya wenzo wa mkono kutoka juu moja kwa moja kwenye tairi; breki aina hii inaweza kulegea haraka na hasa wakati wa mvua kiatu kinaweza kuteleza juu ya tairi]]
'''Breki''' ni kifaa kinachopunguza kasi ya injini au kuisimamisha. Neno latumiwa hasa kwa breki kwenye vvyombo vya usafiri vyenye magurudumu kama [[treni]], [[baisikeli]], [[pikipiki]] au [[motokaa]].
 
Breki mara nyingi hukaza gurudumu na kuchelewesha mwendo wake lakini kuna aina nyingine pia. Kazi hii inatekelezwa kwa kukaza sehemu iliyounganishwa na gurudumu kwa kiatu cha breki. Msuguano kati ya sehemu ya gurudumu na kiatu cha breki hubadilisha nguvu ya mwendo kuwa joto.
 
==Breki za sahani na chungu==
Mstari 25:
{{stub}}
 
[[CategoryJamii:teknolojiaTeknolojia]]
[[jamiiJamii:motokaaMotokaa]]
 
[[ar:مكابح]]
Mstari 66:
[[tr:Fren]]
[[uk:Гальмо]]
[[vi:Thắng (cơ học)]]
[[zh:煞車]]