Khalifa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 19:
 
==Wamuawiya, Waabbasi na Waosmani==
===[[Wamuawiya]]===
Muawiya kama jemadari ya Waislamu wa [[Dameski]] alikuwa khalifa mwaka [[661]] baada ya kifo cha Ali. Tangu Muawiya hakuna khalifa tena aliyechaguliwa; Muawiya alimteua mwanawe Yazid amfuate. Tangu siku zile cheo cha Khalifa kiliendela ama kwa mfuasi aliyeteuliwa na mwenye cheo au kilinyanganywa kwa njia ya kijeshi.
 
Mstari 25:
[[Image:Harun Al-Rashid and the World of the Thousand and One Nights.jpg|thumb|150px|Harun ar-Rashid alikuwa mashuhuri kati ya makhalifa Waabbasi]]
===Waabbasi===
[[Waabbasi]] walitwala mjini [[Baghdad]] hadi mnamo mwaka [[945]]. Khalifa mashuhuri hasa kati hao alikuwa [[Harun ar-Rashid]] aliyebadilishana mabalozi na [[Uchina]] na [[Kaisari]] [[Karolo Mkuu]] mnamo mwaka [[802]]. Baadaye nguvu ya kitawala ilikuwa mkononi wa viongozi wa vikosi vya ulinzi wasiokuwa Waarabu lakini Wajemi au Waturuki. Mwaka [[1258]] [[Wamongolia]] walishambulia na kuharibu mji wa Baghdad na kumwua khalifa [[Al-Mustasim]]. Mjomba wake [[al-Mustansir]] aliweza kukimbilia [[Misri]] alipopewa cheo cha Khalifa na mtawala wa nchi Sultani [[Baibars]]. Makhalifa waliomfuata katika Misri walikuwa viongozi kwa jina tu waliowategemea kabisa watwala wa Misri.
 
Mwaka [[1517]] khalifa wa mwisho wa Waabbasi [[Al-Mutawakkil III]] alikamatwa na Waturuki [[Waosmani]] walipovamia Misri. Wakampeleka [[Istanbul]] kama mfungwa alipokabidhi cheo chake pamoja na simi na koti ya Mtume Mohammad kwa [[Sultani Selim I]].