Kenya African National Union : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
Mstari 5:
==Chama cha pekee==
Katika uchahguzi wa 1963. KANU ilishinda vyama vya KADU na APP na kupata ruhusa ya kuunda serikali huru ya kwanza nchini Kenya. Mwaka iliyofuata wabunge wa hivi vyama walivuka sakafu na kujiunga na KANU. Kenya ikawa nchi ya utawala wa chama kimoja, yaani defacto. Mambo yaliendelea hivo hivo, isipokuwa muda mfupi kutoka 1966-69, mpaka 1982 mwaka katiba ya Kenya
==Mfumo wa vyama vingi==
|