Binadamu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.2+) (Roboti: Imeongeza mdf:Ломанць
Mstari 20:
== Binadamu kadiri ya sayansi ==
 
Ki[[sayansi]] jina hilo linaweza kutumika kwa maana ya '''Homo Sapiens''' ili kumtofautisha na viumbe wengine wa [[jenasi]] Homo ambao wawote mwishowalitoweka wao (Homo Neanderthalensis) walitowekawalau miaka 3512,000 hivi iliyopita. Wanadamu wote walioko leo hii ni [[spishi]] ileile na tofauti zinazoonekana kati ya maumbile ya watu katika sehemu mbalimbali za dunia ni kidogo tu.
 
Watu wote walioko leo hii ni [[spishi]] ileile na tofauti zinazoonekana kati ya maumbile yao katika sehemu mbalimbali za dunia ni kidogo tu.
Utafiti juu ya [[DNA]] umethibitisha kwamba binadamu wote wametokana na watu waliokuwepo [[Afrika]] Mashariki tangu miaka 200,000 hivi iliyopita.
 
Utafiti juu ya [[DNA]] umethibitisha kwamba binadamu wote wametokana na watu waliokuwepo [[Afrika]] Mashariki tanguwalau miaka 200,000 hivi iliyopita.
 
Kwa namna ya pekee, upimaji wa [[DNA ya mviringo]], ambayo kila mmoja anarithi kwa mama tu, unaonyesha kuwa binadamu wote waliopo duniani wanachanga mama mmoja aliyewahi kuishi miaka 130,000 hivi iliyopita.
 
Halafu upimaji wa [[DNA ya mstari]], hususan [[kromosomu Y]], ambayo kila mwanamume anarithi kwa baba tu, umeonyesha kuwa wanaume wote waliopo duniani wanachanga baba mmoja aliyewahi kuishi walau miaka 70,000 hivi iliyopita, kidogo kabla ya watu wa kwanza kuhama bara la Afrika na kuenea [[Asia]] labda kufuatia pwani za [[Bahari ya Hindi]].
 
Hata hivyo, upimaji wa [[DNA ya mstari]] kwa jumla umeonyesha miaka ya mwisho uwezekano wa kwamba baadhi ya binadamu wa leo, wale wasio wa kusini kwa Sahara, wana asilimia 1-6 ya urithi wa kibiolojia kutoka kwa aina nyingine za homo, hususan [[Homo neanderthalensis]] na ile ya pango la Donovani.
 
Kama hao waliweza kweli kuzaliana na [[Homo sapiens]] maana yake walikuwa [[spishi]] moja na yeye. Hapo asili ya binadamu inatakiwa kuhesabiwa ya zamani zaidi sana kuliko miaka 200,000.
 
== Uenezi wa binadamu ==