Jipe (Mwanga) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Tengua pitio 752007 lililoandikwa na 41.222.183.46 (Majadiliano)
kurudisha habari za nyongeza zilzoingzwa na mtumiaji asiyejidandikisha - aliye haribu umbo la makala mara ya kwanza.
Mstari 20:
 
'''Jipe''' ni jina la kata ya [[Wilaya ya Mwanga]] katika [[Mkoa wa Kilimanjaro]], [[Tanzania]]. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa [[2002]], kata ina wakazi wapatao 3,130 waishio humo. <ref>{{cite web|url=http://www.tanzania.go.tz/census/census/districts/mwanga.htm|title=Ripoti Kuu ya Hesabu ya Sensa ya Watu na Makazi kwa Mwaka wa 2002|publisher=Serikali ya [[Tanzania]]|language=en|accessdate=}}</ref>
 
Kata iko karibu na Ziwa Jipe. Ndani ya kata kuna vijiji sita ambavyo ni Makuyuni, Kambi ya Simba, Butu, Kwa Nyange na Kivisi.
 
Diwani ya kata hii kwa mwaka 2010 Hoseni aliyechukua madaraka kutoka kwa Twalb Kidaya.
 
==Marejeo==
{{marejeo}}