Kizima moto : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
New page: thumb|right|170px|Kizima moto chenye dawa la unga thumb|right|170px|Kizima moto chenye CO<sub>2</sub> Kizima mot... |
No edit summary |
||
Mstari 2:
[[Image:Television-en-feu-p1010042.jpg|thumb|right|170px|Kizima moto chenye CO<sub>2</sub>]]
'''Kizima moto''' ni chombo kinachotoa [[kiowevu]], [[gesi]] au dawa la unga vinavyozuia mwako na kuzima moto. Giligili ndani yake huntunzwa kwa shindikizo inatoka kwa mbio kama
==Madawa ya pekee kwa aina za moto==
Madawa ndani ya kizimamoto hutofautiana kulingana na aina ya moto inayotakiwa kuzimwa.
* [[Maji]] hufaa kwa moto ya ubao, karatasi, makaa, vitambaa, matairi na aina
* Moto za [[petroli]], mafuta na aina nyingi za [[plastiki]] ni hatari kutumia maji kwa hiyo kuna madawa kama pofu, dawa la unga au [[kaboni dioksidi]] (CO<sub>2</sub>).
Siku hizi kuna aina
Katika ghala au penye mashine kuna pia mitambo ya kuzima moto yasiyobebwa lakini yametengenezwa mahali penye hatari yakiwaka otomatia kwa kutumia vifaa vya kupima joto, gesi n.k.
|