Amani ya Westfalia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 4:
Washiriki katika mapatano ya walikuwa [[Kaisari Ferdinand III]] wa [[Dola Takatifu la Roma]], watawala wengine wa madola katika Ujerumani, [[Hispania]],[[ Ufaransa]], [[Uswidi]] na [[Uholanzi]].
 
Kati ya matokeo ya kudumu yalikuwa uhuru wa [[Uswisi]] na Uholanzi zilizohesabiwa awali kama sehemu za Dola Takatifu, mapatano kuhusu uvulimiajiuvumilivu kati ya Wakatoliki, Walutheri na Wareformed kama madhehebu makubwa ya Kikristo katika Ujerumani na kupungukiwa kwa madaraka ya [[Kaisari]] lakini kuongezeka za haki za madola madogo ndani ya Ujerumani.
 
Mataifa ya nje kama Uswidi na Hispania yalikuwa sasa na maeneo ndani ya Dola Takatifu na Ujerumani penyewe; madola ya Ujerumani kama [[Habsburg]]-[[Austria]] na [[Brandenburg]]-[[Prussia]] yalitawala maeneo nje ya Dola Takatifu.