Bahari Nyeusi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.2+) (Roboti: Imebadilisha: diq:Deryayo Siya
sahihisho kiungo
Mstari 2:
[[Picha:BlackSea-1.A2003105.1035.250m.jpg|right|thumb|Bahari Nyeusi inavyoonekana kutoka angani ([[NASA]])]]
 
'''Bahari Nyeusi''' ni bahari ya pembeni ya [[Mediteranea]] inayozungukwa na nchi kavu pande zote iliyoko kati ya [[Ulaya ya Mashariki]] na [[Asia ya Magharibi]]. Imeunganishwa na Bahari ya Mediteranea kwa njia ya [[Bahari ya Marmara]] pamoja na [[mlango wa` bahari|milango ya bahari]] ya [[Bosporus]] na [[Dardaneli]] na [[Bahari ya Marmara]]. Ina eneo la takriban 424,000 km² na kina hadi 2,244 m.
 
Nchi zinazopakana ni [[Uturuki]], [[Bulgaria]], [[Romania]], [[Ukraine]], [[Urusi]] na [[Georgia]]. Rasi ya [[Krim]] ni sehemu ya kujitawala ya Ukraine.