Tofauti kati ya marekesbisho "Krim"

20 bytes added ,  miaka 8 iliyopita
no edit summary
(jamii)
Rasi hii ina historia ndefu iliyoona mabadiliko mengi kiasi ya kwamba haiwezekani ni nani wanaoweza kuitwa "wakazi asilia" wa nchi hii.
 
Katika historia inayojulikana Krim ilitawaliwa na [[Waskithi]], [[Wagiriki wa Kale]], [[Roma ya Kale]], [[Wagothi]], [[Bizanti]], [[Wahunni]], [[Wakhazari]], [[Milki ya Wamongolia|Wamongolia]], Waitalia kutoka [[Venezia]] na [[Genua]], [[Watartari]], [[Waosmani]], [[Urusi]] na tangu 1991 nchi huru ya Ukraine.
 
Kwa muda mrefu lugha ya mawasiliano ilikuwa Kigiriki hadi kuingia kwa Watartari Waislamu mnamo [[karne ya 15]] walioleta lugha yao ya [[Kiturki]].