Mata ogania : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 2:
 
==Asili ya mata ogania==
Viumbehai kama [[bakteria]], [[mimea]] na [[wanyama]] huwa na miili inayofanywa na [[molekuli]] kubwa. Molekuli za viumbehai ni kubwa kwa sababu mchakato wa uhai unahitaji tabia kama uwezo wa kuzaa, kukua na [[umetaboli]] na shughuli hizi zinatekelezwa na molekuli za pekee mwilini zenye tabia maalumu.
 
Baada ya kifo cha kiumbehai mchakato wa uhai ndani ya mwili wake unakwisha na molekuli za mwili zinaanza kuoza. Kuoza kunasababishwa mara nyingi na vyembehai au [[bakteria]] ndogo zinazoanza kula sehemu za miili iliyokufa na kupotea uwezo wa kujikinga dhidi ya bakteria hizi zinazopatikana muda wote lakini huzuiliwa na kinga la mwili hai.
 
Mchakato wa kuoza unavunja molekuli na kuacha [[kampaundi]] mbalimbali zisizotokea katika dunia pekee yao isipokuwa kwa njia ya viumbehai. Kampaundi hizi zinaitwa [[kampaundi ogania]] na zina tabia ya kujengwa kwa [[atomi]] za [[kaboni]] zilizoingia katika [[muungo kemia]] na [[hidrojeni]]. Mchakato huu wa kuoza unaendelea kwa muda mrefu; kemikali kadhaa zinaachana haraka na mabaki ya mata ogania lakini kampaundi nyingine zinaweza kukaa kwa miaka mielfu na zaidi ilhali zinaendelea kubadilika polepole.
 
==Umuhimu wa kimsingi wa mata ogania==
Kuwepo kwa mada ogania duiniani ni muhimu kwa viumbehai vilivyopo kwa sababu vinatunza nishati ndani yao na hivyo kuwa lishe kwao.

Kwa upande mwingine mata ogania huwa na tabia za kifizikia zinazotunza unyevu na maji kwenye [[udongo]]. Kwa njia hii kuwepo kwa mata ogania ni msingi wa uhai kwenye uso wa dunia.
 
==Mata ogania katika udongo==
Mata ogania katika udongo ''([[ing.]]: Soil organic matter / SOM)'' ni jumla ya mata ogania inayopatikana hasa kwenye tabaka ya juu ya [[udongo]].
 
Kwa mfano wa msituni[[msitu]] majani na matawi huanguka chini na kutandika ardhi ya msitu. Mabaki haya yote ni mata ogania itakayoendelea kuoza na kubadilika. <ref>http://www.epa.gov/epaoswer/non-hw/organics/index.htm</ref> Mara yameoza kiasi cha kwamba haionekani tena ilikuwa nini kiasili vipande vyake vinaingia ndani ya udongo wa juu ama kama wadudu na minyoo wanaoyasaga na kupeleka vipande kwenye makazi yao ndani ya udongo au kwa njia ya maji ya mvua yanayovibeba ndani ya nafasi katika udongo wa juu. Sasa imekuwa "mata ogania katika udongo". Mara hii mata imeendelea kuoza hadi kufikia hali ya kampaundi ogania za kudumu huitwa mboji (humus). <ref>Kwa hiyo kitaalamu "mata ogania katika mudongoudongo" ni mata ogania yote iliyopo ndani ya udongo isipokuwa bila mata ogania isiyoanza kuoza bado.(http://soils.usda.gov/sqi/concepts/glossary.html).</ref>
 
Wanasayansi hutofautiana aina tatu za mata ogania katika udongo:
Line 21 ⟶ 23:
# [[mboji]] ambayo ni mata ogania iliyooza tayari na kufikia hali ya kuwepo kwa kampaundi zisizoendelea kuchakata haraka.
 
"Mata ogania katika udongo huwa asilimia 1 - 6 ya masi ya udongo wa juu kwa sehemu kubwa ya ardhi ya sehemu za mwinuko.

Udongo wa juu mwenye kiwango cha mata ogania chini ya asilimia 1 unapatikana hasa jangwani.

Kwa upande mwingine udongo wa juu kwenye tambarare za chini zenye maji mengi unaweza kushika hadi asilimia 90 za mata ogania. Udongo mwenye asilimia 12 - 18 za kaboni ogania (sawa na asilimia 20-30 za mata ogania) huitwa udongo ogania" <ref>Troeh, Frederick R., and Louis M. (Louis Milton) Thompson. Soils and Soil Fertility. 6th ed. Ames, Iowa: Blackwell Pub., 2005. [http://oceanagrollc.com/?p=73]</ref>
== Marejeo ==