Tofauti kati ya marekesbisho "Binadamu"

42 bytes added ,  miaka 10 iliyopita
no edit summary
No edit summary
== Binadamu kadiri ya sayansi ==
 
Ki[[sayansi]] jina hilo linaweza kutumika kwa maana ya '''Homo Sapiens''' ili kumtofautisha na viumbe wengine wa [[jenasi]] [[Homo]] ambao wote walitoweka walau miaka 12,000 hivi iliyopita.
 
Watu wote walioko leo hii ni [[spishi]] ileile na tofauti zinazoonekana kati ya maumbile yao katika sehemu mbalimbali za dunia ni kidogo tu.
Halafu upimaji wa [[kromosomu Y]], ambayo kila mwanamume anarithi kwa baba tu, umeonyesha kuwa wanaume wote waliopo duniani wanachanga baba mmoja aliyewahi kuishi walau miaka 70,000 hivi iliyopita, kidogo kabla ya watu wa kwanza kuhama bara la Afrika na kuenea [[Asia]] labda kufuatia pwani za [[Bahari ya Hindi]].
 
Hata hivyo, upimaji wa [[DNA ya mstari]] kwa jumla umeonyesha miaka ya mwisho uwezekano wa kwamba baadhi ya binadamu wa leo, wale wasio wa kusini kwa Sahara, wana asilimia 1-6 ya urithi wa kibiolojia kutoka kwa aina nyingine za homo, hususan [[Homo neanderthalensis]] na ile ya [[pango la DonovaniDenisova]].
 
Kama hao waliweza kweli kuzaliana na [[Homo sapiens]] maana yake walikuwa [[spishi]] moja na yeye. Hapo asili ya binadamu inatakiwa kuhesabiwa ya zamani zaidi sana kuliko miaka 200,000.
Kutoka bara la Asia, watu walienea kwanza [[Australia]] na [[Ulaya]], halafu [[Amerika]] toka kaskazini hadi kusini.
 
Hatimaye, katika [[karne ya 20]] watu walikwenda kukaa kwa muda katika bara la [[Antaktika]] kwa ajili ya utafiti.
 
== Upekee wake ==
 
Ingawa binadamu ana undugu mkubwa wa kibiolojia na [[sokwe]] na viumbe vingine, ustawi wake hauna mfano, kiasi cha kufanya wengi waamini tofauti iliyopo inadai kuelezwa kwa uwemo wa [[roho]] ndani ya [[mwili]] wake; roho ambayo [[dini]] hizo [[imani|zinasadiki]] imetiwa na [[Mungu]] moja kwa moja.
 
== Binadamu kadiri ya Biblia ==
Ameshirikishwa naye ukuu juu ya viumbe vyote vinavyoonekana.
 
Yeye tu ni [[nafsi]], anawezaakiwa na uwezo wa kujifahamu, kujitawala, kujitolea na kupendana na wengine.
 
Basi, anapaswa kulinda hadhi hiyo asitawaliwe na [[tamaa]] za kila aina.