Daniel Comboni : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Daniel Comboni
Mstari 1:
[[Image:Comboni.jpg|thumb|right|180px|Padre Daniele Comboni]]'''Daniele Comboni''' (Limone sul Garda, Italia 15 marchi 1831 - Khartoum, Sudan, 10 octoba 1881), alikuwa misionari catoliki. Yeye alianzisha ushirika wa Mamisionari wa Moyo Takatifu wa Kristo na Masista wa Africa, yaani ''Comboni Missionaries'' na ''Comboni Sisters''. Alichaguliwa kuwa mtakatifu na Baba Mtakatifu Johana Paulo wa Pili siku ya 5 octobe 2003. Sharere yake ni 10 octoba.