Daniel Comboni : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Daniel Comboni
d Daniel Comboni
Mstari 1:
[[Image:Comboni.jpg|thumb|right|180px|PadreMatakatifu Daniele Comboni.]]'''Daniele Comboni''' (Limone sul Garda, Italia 15 marchi [[1831]] - [[Khartoum]], [[Sudan]], [[10 octoba]] [[1881]]), alikuwa misionari catoliki. Yeye alianzisha ushirika wa Mamisionari wa Moyo Takatifu wa Kristo na Masista wa Africa, yaani ''Comboni Missionaries'' na ''Comboni Sisters''. Alichaguliwa kuwa mtakatifu na Baba Mtakatifu Johana Paulo wa Pili siku ya [[5 octobeoktoba]] [[2003]]. Sharere yake ni [[10 octobaOktoba]].
 
 
== Maisha ==
 
Daniele Comboni alikuwa moja wa ndugo nane, lakini ndugu zake wote walifariki wote walipokuwa watoto. Daniele aliacha wazazi wake alipokuwa na miaka 12 na alienda [[Verona]] kusoma kwenye shule ya Padri Nicola Mazza. Huko [[Verona,]] Daniele alichagua kuwa padri na kuenda Afrika kama misionari. Alifica [[Misri]] na mamisionari wengine tano ([[1857]]). Wote ealiendela kufika [[Sudan]] kusini, kwenye sehemu waliolitwa Msalaba Mtakatifu. Baada miaka mbili, Daniele alirudi Italia kwa sababu mamisionari wengine waliofariki uko Sudan. Siku moja, alipokuwa akiomba ndani ya kanisa la Mtakatifu Petero, Roma, Daniele alitafakari kuhusu njia ya kueneza injili [[Afrika]]. Aliandika “Mpango ya Kurudishia [[Afrika]] Uhai” (Plan for the Regenerazion of [[Africa]]). Katika Mpango, Comboni aisema ya kamba ni lazima kusaidia waafrika kukua katika [[elimu]], ili waafrikawa[[afrika]] wenyewe wanaweza kupanga maendelo yao.
Katika [[1867]], alianza ushirika ya mapadri na mabruda. Katika [[1877]] alikuwa Askofu na Baba Mtakatifu alimpatia kasi ya kujenga [[Kanisa]] katika [[Africa ya Kati]] ([[Sudan]], [[Uganda]], [[Kenya]] ya leo). Daniele Comboni aliaga dunia [[10 octobaOktoba]] [[1881]].
 
{{Mbegu}}
 
[[it:daniele comboni]]
[[vec:daniele comboni]]