Daniel Comboni : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Daniel Comboni
d Daniel Comboni
Mstari 1:
[[Image:Comboni.jpg|thumb|right|180px|Matakatifu Daniele Comboni.]]'''Daniele Comboni''' (Limone sul Garda, Italia 15 marchi [[1831]] - [[Khartoum]], [[Sudan]], [[10 Oktoba]] [[1881]]), alikuwa misionari catoliki. Yeye alianzisha ushirika wa Mamisionari wa Moyo Takatifu wa Kristo na Masista wa Africa, yaani ''Comboni Missionaries'' na ''Comboni Sisters''. Alichaguliwa kuwa mtakatifu na Baba Mtakatifu Johana Paulo wa Pili siku ya [[5 oktobaOktoba]] [[2003]]. Sharere yake ni [[10 Oktoba]].