İzmir : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Roboti: Imeondoa: cbk-zam:İzmir (deleted)
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Esmirna.jpg|thumb|left|270px]]
'''İzmir''', kwa jina la kihistoria [[Smyrna]], ni mji wa tatu kwa ukubwa katika [[Uturuki]], na ndiyo mji wenye bandari kubwa baada ya [[Istanbul]]. Upo katika eneo la maji yatokayo [[Ghuba ya İzmir]], katika [[Bahari ya Aegean]].